Tonalità: Ab major
Verse 1
G
C
G
D
Ah!
G
Barua yako uliyotuma kwa Ri
C
cardo Momo nimeisoma
G
D
Ila nimechelewa kuijibu sababu
moyoni imenchoma
C
Nliyo yategemea
G
Tofauti na nlicho kiona
D
Hata naandika hii barua Huku roho
G
yangu inansonona
C
Umesema nichane nguo
G
D
Pia funguo umeirudisha sawa
G
Simu niziweke kituo
C
G
na sio chaguo
D
Nikome kabisa sawa
G
Umesema hata ile picha nzuri
C
nliyo kukumbatia
G
Niichane sawa
D
Ila kinachoniumiza
G
Mbona moja umesahau
C
Kosa Langu Kosa Langu Hujaniambia
Verse 2
G
Na kuniacha peke yangu
C
D
Ukanikimbia
G
D
Ila mbona kosa langu
G
D
Nami nikabiki peke yangu
Verse 3
Ukanikimbia
D
C
Mbona ukanichimbia kaburi
G
Ningari bado mzima
D
G
C
Niife nizikwe vizuri
G
D
G
Nipotee kabisa kimya
D
C
Licha ya matendo mazuri
G
Kwa upendo na heshima Moto
D
ukachochea tanuri
G
Ukachoma wangu mtimaa
D
Natamani hata ninge
Verse 4
G
Muda wakati Kukutazama
D
Unione hata japo sura
G
Unitazame macho yangu
D
C
Mwenzako wimbi limenipiga kasi
G
D
Langu jahazi limezama
G
Mnyonge mwana Sanura
D
C
G
Wee ndio ulikuwa furaha yangu
Verse 5
D
G
Tatizo hata nkilia wa
C
G
kunifuta machozi sina
D
Sawa na gari lisio na gear
G
La kuiforce ipande mlima
D
C
Ndio maana siishi kulalama
G
Japo jibu mo ja tuu
Linaloniumiza
D
Mwenzio bado sijaelewa
G
Kosa Langu Kosa Langu (Kosa
Verse 6
Langu)
D
C
Hujaniambia (Hujaniambia)
Na kuniacha peke yangu (Peke
G
yangu)
Ukanikimbia (Ukaenda)
D
G
Ila mbona Kosa Langu (Kosa
D
Langu)
C
G
Hujaniambia (Hujaniambia Bado)
D
Nami nikabi peke yangu
D
C
Ukanikimbia (Ukaenda Ooh!)
Verse 7
D
Moyo wangu umevunjika una
G
C
G
D
magongo
Oh moyo!
G
C
Kila sehemu nayoshika
G
D
Hata chozi likifutika linabaki tongo
G
Najitahidi kulidhika ila nna kinyongo
Moyo wangu umevunjika Unaa jamani
G
D
C
G
Oh moyo!
Outro 1
G
D
C
G
D
Ti è piaciuto il brano?
AccordatoreE A D G B E
AccordiG C D
Altri brani di Diamond platnumz
Scopri altri brani e i relativi accordi
Accordi popolari a livello globale
Accordi e tablature più suonati dagli utenti
Aggiunti di recente
Accordi e tablature aggiunti di recente
