gambe umefan
ya maisha yangu ya yumbe,
MI nimpambe wako leo
nimekutumia ujumbe,
MI ndugu yako nipe ukweli usini fumbe,
Uwepo wako karibu
vp unafanya ni yumbe,
Kila muda kwene friji unajipoza,
MI domo zege nikisha kutumia natongoza,
Nalewa usiku kucha jua lina chomoza,
Nasindikiza na supu asuhi
njema unaniongoza,
We ni nani unaiyendesha hi akili,
Nnikiwa na mawazo unanitoa
stress nisifikili,
Ukiwa mezan chupa
kadhaa sijiwezi,
Mpaka mtaani washa nipa jina
jingine la mlevi,
Unafanya nafubaa mi mwenzako,
Hadi kazini naiba
chapaa nije kwako,
Dear gambe mitaa ipe ukweli wako,
Nakila ugomvi wa baa kwanini
chanzo ni chako.
VERS 2;
Unafanya ndoa nyingi zinavunjika,
Hasi chanya we na msosi nikichanganya na tapika,
Aukatai kila mteja anae kuarika,
Unafurahi na ubaridi wa
maji una chilizika,
Likitokea tatizo we ndo kimbilio,
Nakutinga nakua muongeaji bila mpangilio,
Nasahau kinga tamaa ndo kimbilio,
We ni funda la ziada unani
umbua mi mwenzio,
Unarainisha koo kifikla unan
i bembeleza,
Unani kontro sijasoma naongea
hadi kingereza,
Usha niweza nani aliye kutengeneza,
Na nini aliwaza nawe ni
mbaya kwa wasio jiweza,
Sa najinyea nanilikunywa kwa furaha,
Najikojolea unani athiri na
ninatoa cha paa,
Dear gambe mitaa ipe ukweli wako,
Nakila ugomvi wa baa kwanin
i chanzo ni chako.
VERS 3;
Dear gambe unanichanganya sana,
Unamajina mengi mpaka ya mbuga za wanyama,
Nashangaa, mengine yanatia kinyaa,
Mfano mzuri nigongo chimpumu
hata cha ng\"aa,
Kwenye ubongo umetawala
kila secta,
Niukweri siwezi kua nawe bila pesa,
Watu wengine wana kula ada
kisa wewe.
Unawafanya wanasahau ibada,
Na juzi juzi tu nimepata khabari,
Kuna mwana ulikua nae
ameshapata ajaLI,
Dear gambe nikweli unanichosha,
Napenda kua nawe ila nyumbani
mboga wanakosa,
Nawaza jinsi gani ntakuacha,
Mpaka wazalendo wa dini ba
hadhi kwako wame data,
Hakuna utata poa sasa najikata,
Kapuku nikizipata ntakufata...